Je,wewe ni mbunifu wa ngazi yoyote katika sayansi ikiwemo ngazi ya sekondari,msingi, sekta isiyo rasmi, fundi stadi, ufundi wa kati, chuo kikuu, na taasisi za utafiti?.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inasajili wabunifu wote ili kuwatambua, na kuwapa tuzo,na kushirikiana na wadau katika kuwakuza na kuwaendeleza.

Jisajili hapo juu na wasilisha andiko lako sasa.

Wabunifu 10 kutoka kila ngazi watapata fursa ya kushiriki maonyesho yatakayofanyika kitaifa jijini Dodoma.

Usajili wa MAKISATU umefungwa, Taarifa itatolewa pale usajili utakapofunguliwa.

Wasiliana Nasi


Mawasiliano Yetu

P.O. Box 4302,
Dar es Salaam, Tanzania

makisatu@costech.or.tz

+255 (022) 277-1358

Wasiliana nasi kupitia fomu hapa chini